Shimba ya Buyenze
JF-Expert Member
- Dec 22, 2014
- 183,582
- 1,105,383
AkupeeNaomba 55k nikamasajiwe
Hahaa nimechekaImagine crying and your Nigerian boyfriend says "Shotop"![]()
Alaa kumbe...Akupee
Kashinda keka la Spain
Jamaa wana accent nzito sana. Utasikia Sotofrica kumbe ndo South Africa hiyo. Uzuri wanajiamini sana na ukizubaa wanakutapeli hivi hivi unajiona na Sotofrica yaoHahaa nimecheka

Jamaa wana accent nzito sana. Utasikia Sotofrica kumbe ndo South Africa hiyo. Uzuri wanajiamini sana na ukizubaa wanakutapeli hivi hivi unajiona na Sotofrica yao![]()
ila wana lafudhi ya hovyo sijapata ona.Ushapigwa ndoige ya koromeo, huemi dk nzima
Hicho kihama
Aya! Pikeni nyingine itakayo kick na kutrend itakayo weza kuzima ishu ya bashiru, msumbiji, treni zetu, mpuyango wa nishati kwa kutafuta wakandarasi wa bei ghali na mengineyo!
Unatakiwa kuogopa kula ela ya kula
Eh! Mayai mengine akaangie chips sasa!