TimeOut
JF-Expert Member
- Sep 20, 2022
- 3,893
- 8,483
Hapa mahari lazima ulipe mara mbili
Hapa mahari lazima ulipe mara mbili
Yule mlokole akiiona hii, mh! Matango tu aliyakemea sasa sijui huyu mdudu wa watu atamfanyaje
Kilichokukimbiza? 😆Nimemuona mkaka kavaa fulana ya Tanesco nimekimbia balaa![]()
Hii dunia hii, Mungu atusaidie kwa kweli. Sijui aliwaza nini huyu aliyemuweka huyu kuku hivi





