MTU mzima hovyoView attachment 2319924
Kafurahiii mwenyewe.... Hili sanamu sijui km hakulinunua.
View attachment 2320443
Wazungu hii Siri waliijuaga muda Sana.Hapo ni mwenge...!!????
Kumbe rasta fare nao wamooo eeehhh...!!!😜😜😜
Wazungu hii Siri waliijuaga muda Sana.
Achana na Rasta kabisa ni wakuu wa department hiyo.
imenikuta usiku wa kuamkia leo nimeparamia ndizi sijui hazijaiva vizuri usiku kucha ilikuwa ni mwendo wa kusign chooni
Kuna actors wengi sana lakini sijui kwanini huyu jamaa kapata umaarufu sana[emoji16][emoji16]Kuna mtu anaumwa [emoji41][emoji41]View attachment 2320179
[emoji16][emoji16][emoji16]Siku hiyo lazima uimbe sana View attachment 2320515
[emoji1][emoji1]mkuu hesabu za nuclear iziTanzania tupo watu million 55 [emoji41] hivi kwanini serikali isitenge milion 55 ikagawa kila mtu million 1[emoji41][emoji41]
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji24][emoji24]
Sent using Jamii Forums mobile app