Kutana na Mama Mzazi Aliyembeba Mjukuu Wake Mwenyewe kwa Mwanae wa kiume na Mumewe
Jensy De Los Santos, 30, na Junior Guzman, 29, daima walikuwa na hamu kubwa ya kuwa na familia. "Sikuzote tulitaka kuwa wazazi," alisema Jensy, "ili tuweze kuwapenda, kuwalinda na kuwaongoza watoto wetu."
Mama ya Jensy, Clariluz Genao, ambaye alikuwa na umri wa miaka 49 wakati huo, aliona mwanawe wa kiume na mkwe wake wakitamani sana kuwa wazazi, na akajitolea kuwa mrithi wao. "Ningependa kubebea watoto wangu wajukuu," alisema, akitumai kuwaokoa.
Muda mfupi baada ya kila kitu kuwekwa wazi, Clariluz alipokea na viinitete viwili toka New York ; ni kiinitete kimoja tu kilieendelea kujiendeleza. Mnamo Novemba 18, 2018, akina baba hao wawili walifurahi kutangaza habari zao za ujauzito: walikuwa wanatarajia mtoto wa kiume.
Mwana wao alizaliwa mnamo Februari 23 2019.



Sent using
Jamii Forums mobile app