Duuh jamaa katoboa kimasihara tuu🤔
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]jamani mzab laki tatu,Kwa kweli mungu anipe uvumilivu nisije enda kwa mngaga nikamloge huyu mwanamke aliesepa na laki tatu zangu
Acha tuu yaani hapa nina machungu acha kabisa.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]jamani mzab laki tatu,
Mganga nipo hapa
Dah!
Hahaha..Si dharau hiziView attachment 2320153
Pole sana,Acha tuu yaani hapa nina machungu acha kabisa.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Niipate wapi bwana wewe ndio kinachoniuma ujuePole sana,
Papuchi alikupa[emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]mzabNiipate wapi bwana wewe ndio kinachoniuma ujue
Aliwahi kukopa elf hamsini na alitudisha on time na pia mambo mengine yupo mstaraab ila hili ndio naona kageuka[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]mzab
Ilikuaje ulitanguliza noti nawe,. Umeniangusha[emoji23]
Duuuuh pole sana mzeya[emoji23]Aliwahi kukopa elf hamsini na alitudisha on time na pia mambo mengine yupo mstaraab ila hili ndio naona kageuka