Karibu Fan wa ndefu.Weeh sema kweli...!
Niliwahi kukutana na Mmasai halafu alikuwa rasta fare...!!
Sijui huyu nae comboo yake inakuwaje....!🤔🤔🤔
Nakubali
Yupo muvi ganKuna actors wengi sana lakini sijui kwanini huyu jamaa kapata umaarufu sana[emoji16][emoji16]
Vijana wa hovyo ndio wakoje[emoji16][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] kazi unayo kijana wa hovyo
Avengers za huko marvel [emoji16]Yupo muvi gan
mkuu kama hujawahi kumjua usitake kumjua,utakuja nishukuru baadaeYupo muvi gan
Asante. Nimefuafa ushauri wakomkuu kama hujawahi kumjua usitake kumjua,utakuja nishukuru baadae