duh☹☹☹ aibu naona mmALIYETANGAZA KUWA NI SHOGA ATANGAZA KUOLEWA.
Mwaka jana zilienea taarifa za kusikitisha zilizowaacha watu vinywa wazi, ni baada ya mwanamuziki wa kundi la Sauti SOUL Chimanno kutoka Kenya kujitangaza kuwa yeye ni shoga,
Watu wengi walionyesha kukeleka na kundi la sauti soul lilipoteza mashabiki wengi sana.
Ni miezi kadhaa imepita na sasa Chimano ametangaza kuwa tayari ana mume wake ambaye yupo Ujerumani na wanampango wa kufunga ndoa hivi karibuni.View attachment 2310564
😂😂😂😂 ameiva htar
Huo ubao si unatoka mbona kama umeegeshwa tu
nikopeshe mkuuView attachment 2311688Nauza baskel nzuri ya mazoez (racing)
Model: Schwinn
Bei:350k
Location:Mbezi beach
hahahahaha inachekesha sana hahahahaha hehehehe hihihihihi hohohoho huhuhuhuhuTofauti ya mchaga na mhaya wakipata kazi
Kuna vijana wawili majirani walikuwa wanatafuta kazi Kwa muda. Mwezi uliopita Mchaga alipata kazi Bank, na Mhaya alipata kazi kwenye Mashine ya Kusaga na Kukoboa.
Juzi jumapili walikutana na mzee mmoja jirani yao, baada ya salaam mazungumzo yakaendelea hivi:
Mzee: vijana siwaoni oni hapa mtaani siku hizi mmepata kazi, au?
Mchaga: ndiyo mzee, nashukuru nimepata kibarua hapo mjini..
Mzee: hongera kijana
Mchaga: asante
Mhaya: Mie nimepata kazi nzuri Sana kwenye kampuni kubwa sanaa..
i work as a crucial engineer in a monocotyledon finishing company😊