Vituko mitandaoni. Tupia chako

Vituko mitandaoni. Tupia chako

MKE Vs MCHEPUKO

Mke ni kama Tv na Mchepuko ni kama Simu.
Nyumbani unaangalia Tv lakini ukitoka unatoka na simu.

Mara chache unafurahia Tv lakini Muda mrefu unacheza na simu yako.

Tv waweza tumia bure, lakini Simu kama hujalipia hupati huduma.

Tv ni kubwa, nzito na wakati wote ni ya zamani. Lakini simu ni nzuri, nyembamba, na ni rahisi kubeba (portable) na unafurahia kwenda nayo popote!

Gharama za huduma za tv ni ndogo sana, Lakini gharama za huduma za Simu ni kubwa na pia ni lazima kuzitimiza.

Tv ina remote lakini Simu haina.

Kitu muhimu zaidi simu ina njia mbili za kuwasiliana: unaongea na unasikiliza. Lakini Tv unalazimika kusikiliza hata kama hutaki!

Unaweza kununua Tv mara moja na ukatumia kwa kipindi kirefu, lakini Simu mara zote unabadilisha inategemea tu na fasheni.

Ya mwisho na ya kuzingatia:

Tv haina Virusi lakini Simu inavyo..

KUWA MAKINI.
 
296239181_735779994174359_7714802658758545619_n.jpg
 
Mke​

MUME: “Mke wangu nasikia bwana Makanyaga katembea na wake za watu wooote hapa mtaani kasoro mmoja tu!”

MKE: “Mmmh! basi huyo aliebaki atakuwa MAMA MBILINGE, maana yule mama ndo ANAJIFANYAGA MGUMU sanaaa.!!”

Je, huyu mama angekuwa mkeo ungekuwa na swali lingine la kumuuliza?
 
Tofauti kati ya Binti wa Kizungu na Binti wa Kibongo mwanamme anapotoka kuoga:​

Binti wa Kizungu: Baby, you look nice, fresh and sexy😍

Binti wa Kibongo: Naona safari imeiva, Mwanaume hupumziki, muda wote kiguu na njia kama nesi wa zamu tuu 🙄
 
Mke​

MUME: “Mke wangu nasikia bwana Makanyaga katembea na wake za watu wooote hapa mtaani kasoro mmoja tu!”

MKE: “Mmmh! basi huyo aliebaki atakuwa MAMA MBILINGE, maana yule mama ndo ANAJIFANYAGA MGUMU sanaaa.!!”

Je, huyu mama angekuwa mkeo ungekuwa na swali lingine la kumuuliza?
Hahaha jamani wanawake mupunguze basi kugawa gawa mbususu hizo
 
Ufutaji namba kwenye simu kulivyomponza jamaa​

Majuzi jamaa mmoja alijipa kazi ya kufuta vitu visivyo na umuhimu kwenye sm yake. Katika futa futa si akafuta namba ya bosi wake! Halafu boss mwenyew wa kike.

Mida ya saa mbili usiku akiwa chumbani kwake..
Mara simu ikawa inaita. Kucheki namba ngeni. Akapokea baada ya salamu...
Jamaa:→nani mwenzangu??
Boss→we hunijui me ??
Jamaa→usinijbu swali kwa swali Nita ku blacklist sasa hiv, sipendagi ujinga mi..
Kwa sasa jamaa anazurura tu mtaani na bahasha ya vyeti!!!
 
MKE Vs MCHEPUKO

Mke ni kama Tv na Mchepuko ni kama Simu.
Nyumbani unaangalia Tv lakini ukitoka unatoka na simu.

Mara chache unafurahia Tv lakini Muda mrefu unacheza na simu yako.

Tv waweza tumia bure, lakini Simu kama hujalipia hupati huduma.

Tv ni kubwa, nzito na wakati wote ni ya zamani. Lakini simu ni nzuri, nyembamba, na ni rahisi kubeba (portable) na unafurahia kwenda nayo popote!

Gharama za huduma za tv ni ndogo sana, Lakini gharama za huduma za Simu ni kubwa na pia ni lazima kuzitimiza.

Tv ina remote lakini Simu haina.

Kitu muhimu zaidi simu ina njia mbili za kuwasiliana: unaongea na unasikiliza. Lakini Tv unalazimika kusikiliza hata kama hutaki!

Unaweza kununua Tv mara moja na ukatumia kwa kipindi kirefu, lakini Simu mara zote unabadilisha inategemea tu na fasheni.

Ya mwisho na ya kuzingatia:

Tv haina Virusi lakini Simu inavyo..

KUWA MAKINI.
TV haiwezi kugeuka ikawa simu kwa kwa matumizi ya wengine?
 
Tofauti ya mchaga na mhaya wakipata kazi​

Kuna vijana wawili majirani walikuwa wanatafuta kazi Kwa muda. Mwezi uliopita Mchaga alipata kazi Bank, na Mhaya alipata kazi kwenye Mashine ya Kusaga na Kukoboa.
Juzi jumapili walikutana na mzee mmoja jirani yao, baada ya salaam mazungumzo yakaendelea hivi:

Mzee: vijana siwaoni oni hapa mtaani siku hizi mmepata kazi, au?
Mchaga: ndiyo mzee, nashukuru nimepata kibarua hapo mjini..
Mzee: hongera kijana
Mchaga: asante
Mhaya: Mie nimepata kazi nzuri Sana kwenye kampuni kubwa sanaa..
i work as a crucial engineer in a monocotyledon finishing company😊
 
Huyu ni mwanaume au jike?

Tofauti kati ya Binti wa Kizungu na Binti wa Kibongo mwanamme anapotoka kuoga:​

Binti wa Kizungu: Baby, you look nice and fresh😍

Binti wa Kibongo: Naona safari imeiva, Mwanaume hupumziki kama nesi wa zamu tuu 🙄
😂😂😂😂😂😂😂😂
 
Back
Top Bottom