Unaona kijana anapendeza, bata za hapa na pale kumbe bts kuna shangazi anafanya yakeMashangazi mtatumaliza saView attachment 2311489

Hawajadhubutu kuitaja DR Congo hawa jamaa
how do married people behave 😅?Mnajipatia majukumu yasiyo ya kwenuView attachment 2311517
Haya matusi sasa kwa sie wenYe 42 na bado tupo kwa baba zetu
Haya matusi sasa kwa sie wenYe 42 na bado tupo kwa
To take an oath to be together in difficulties and pleasureshow do married people behave?

🙄😳🤔ALIYETANGAZA KUWA NI SHOGA ATANGAZA KUOLEWA.
Mwaka jana zilienea taarifa za kusikitisha zilizowaacha watu vinywa wazi, ni baada ya mwanamuziki wa kundi la Sauti SOUL Chimanno kutoka Kenya kujitangaza kuwa yeye ni shoga,
Watu wengi walionyesha kukeleka na kundi la sauti soul lilipoteza mashabiki wengi sana.
Ni miezi kadhaa imepita na sasa Chimano ametangaza kuwa tayari ana mume wake ambaye yupo Ujerumani na wanampango wa kufunga ndoa hivi karibuni.View attachment 2310564
Huyu ni mwanaume au jike?