Baunsa huyo wa nchini Brazil aliyekichoma Sindano ili azidi kujazia amefariki
Valdir Segato (55) awali alionywa na madaktari kuwa kemikali anazojichoma ni hatari zinaweza kumletea matatizo ikiwemo kuua neva na kumfanya akatwe viungo ila akawa anapuuza na kusema anataka kuwa na mwili kama wa role model wake Amord Schwarzenegger au Hulk toka filamu za Marvel's.
Alikimbizwa hospitali baada ya kupata matatizo ya kushindwa kupumua vizuri na kusadikika kuwa na shambulio la moyo ndipo amefariki na kipindi cha nyuma alipata hayo matatizo ila akawa hakomi na akaendelea kujichoma sindano azidi kufutuka.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.