Sipendi Uchawa
JF-Expert Member
- Dec 19, 2016
- 8,086
- 12,804
[emoji23][emoji23][emoji23]Voice note dk 90+ hayo malalamiko ya jamaa sio ya nchi hii[emoji16][emoji16]
[emoji23][emoji23][emoji23]Voice note dk 90+ hayo malalamiko ya jamaa sio ya nchi hii[emoji16][emoji16]
Huyu aende motoni kabisa kapiga mpaka make up na wigi amewahi kuvaa.. Kuna watu toka kuzaliwa wakipaka mafuta ni mgando[emoji2089][emoji2089][emoji2089]View attachment 2307293
Sent from my SM-G935T using JamiiForums mobile app
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] Aisee atakua ameua trafic
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Huyu ametia aibu yaani kwa uzuri huo mbususu ageuza ata kwa laki bao tatu
🤣🤣
🤣🤣Mwanamke mmoja Nairobi ameamriwa na Mahakama ya Madai Ndogo ya Milimani kumlipa mpenzi wake Kshs 23,750 baada ya kumtumia Kshs 3,000 kulipia teksi kuhudhuria sherehe ya kuzaliwa kwa mwanamume huyo lakini bibi huyo hakutokea na badala yake akazima simu yake.
Mwanamume huyo alienda kwa mahakama ndogo ya madai na kufungua kesi hiyo
pamoja na ushahidi ambao ni pamoja na taarifa yake ya M-pesa na gumzo la WhatsApp kati yake na bibi huyo kabla na baada ya kutuma pesa hizo baada ya bibi huyo kupuuza jumbe zake na kisha kuzima simu yake.
Mwanamke huyo aliamriwa amrudishe mwanamume huyo Kshs 3,000 pamoja na riba ya Kshs 750 na fidia ya Kshs 20,000 zaidi kutokana na uchungu wa kihisia aliopitia.
Mwanamke huyo alizuiliwa akisubiri malipo ya uharibifu na familia yake.
Wala nauliii[emoji23][emoji23][emoji23]View attachment 2306928
🤣🤣🤣MARUDIO: "Sikiliza ushauri vizuri acha kuwahi acha njaaa
View attachment 2306988
Wauza Ankolee wawaeleze vijana kwa umakini🤣🤣🤣
Tayari ishapigwa pini hii vumbi!
Chabo..!
🤣
Dooh![emoji16][emoji16]View attachment 2307222
🤣🤣
Duh![emoji2089][emoji2089][emoji2089]View attachment 2307293
Sent from my SM-G935T using JamiiForums mobile app
🤣🤣🤣
🤣