Tatizo nimewahiwa tayari 😂Nisamehe mammy ujana ulikuwa wanisumbua. Wee njoo tuyajenge
Kwahyo ulinidanganya upo singleTatizo nimewahiwa tayari![]()
usijalia mrembo hilo wala sio shida. kwenye katiba mpya tutakuja na mapendekezo ya wanawake kuwa na uwezo wa kuolewa na wanaume zaidi ya mmoja. mie nipo tayari kuwa mume wako wa pili.Tatizo nimewahiwa tayari 😂
kumbe na wewe ulimtongoza huyu mrembo
Nimepiga sana verse anakuja anakataa akasema yupo single Ila hataki mpenz kwa sasa kasema nimpe Muda ajifikirie kumbe anatupanga aisee hawa wanawakekumbe na wewe ulimtongoza huyu mrembo
usijalia mrembo hilo wala sio shida. kwenye katiba mpya tutakuja na mapendekezo ya wanawake kuwa na uwezo wa kuolewa na wanaume zaidi ya mmoja. mie nipo tayari kuwa mume wako wa pili.
kwa sasa wewe enjoy na shemeji yetu mpe style zote kasoro msomali kafia kwenye fiat....hiyo utakuja nipea mie















mm nitakua mume wa 3 Ile ndugai style niachieni mm wanawake kiboko kwa uzinzi jamani...yaani Joan S kweli wewe ndio wakutuweka foleni hiviNimepiga sana verse anakuja anakataa akasema yupo single Ila hataki mpenz kwa sasa kasema nimpe Muda ajifikirie kumbe anatupanga aisee hawa wanawake
Sent from my SM-G935T using JamiiForums mobile app