Nimeipenda hiyo
Dah noma[emoji16][emoji16]View attachment 2290700
😂😂😅
[emoji16][emoji16]anakwambia anajua ngumi, atalinda gari lisiibwe[emoji23][emoji23][emoji28]
Karate na ngumi!
Voice note dk 90+ hayo malalamiko ya jamaa sio ya nchi hii[emoji16][emoji16]
Alaf ukikutana nae huna cha kumfanya unajikuta unakazia pin ili lengo litimieVoice note dk 90+ hayo malalamiko ya jamaa sio ya nchi hii[emoji16][emoji16]