AlexProsper
JF-Expert Member
- Jul 1, 2022
- 3,412
- 6,281
Hivi kuna wanaume wanatamani kuwa wanawakeDume hilo, Transgenda...
Hivi kuna wanaume wanatamani kuwa wanawakeDume hilo, Transgenda...
Inasikitisha sana...Hivi kuna wanaume wanatamani kuwa wanawake
Aisee hiyo ndo tunasema sin against natureInasikitisha sana...
Safi kabisa...maana dah wametula hela zetu sana. Na hivi mundende umepigwa stop hili ndio suluhishoMwanamke mmoja Nairobi ameamriwa na Mahakama ya Madai Ndogo ya Milimani kumlipa mpenzi wake Kshs 23,750 baada ya kumtumia Kshs 3,000 kulipia teksi kuhudhuria sherehe ya kuzaliwa kwa mwanamume huyo lakini bibi huyo hakutokea na badala yake akazima simu yake.
Mwanamume huyo alienda kwa mahakama ndogo ya madai na kufungua kesi hiyo
pamoja na ushahidi ambao ni pamoja na taarifa yake ya M-pesa na gumzo la WhatsApp kati yake na bibi huyo kabla na baada ya kutuma pesa hizo baada ya bibi huyo kupuuza jumbe zake na kisha kuzima simu yake.
Mwanamke huyo aliamriwa amrudishe mwanamume huyo Kshs 3,000 pamoja na riba ya Kshs 750 na fidia ya Kshs 20,000 zaidi kutokana na uchungu wa kihisia aliopitia.
Mwanamke huyo alizuiliwa akisubiri malipo ya uharibifu na familia yake.
Wala nauliii[emoji23][emoji23][emoji23]View attachment 2306928
HahahahaaSafi kabisa...maana dah wametula hela zetu sana. Na hivi mundende umepigwa stop hili ndio suluhisho
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]MARUDIO: "Sikiliza ushauri vizuri acha kuwahi acha njaaa
View attachment 2306988
Dahh qumamake [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]