Chukwu emeka
JF-Expert Member
- Jan 12, 2018
- 25,227
- 40,718
Dah kwa hiyo hapa ishu ni ndalama tuuMwenye kisu kikali ndiye mla nyama 🤣🤣
Vipindi huwa vinabadilika, leo kiangazi. Kesho masika 😛
🤣🤣🤣🤣 Leo mmekunywa vinywaji gani lakini[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] mm nitakua mume wa 3 Ile ndugai style niachieni mm
Sent from my SM-G935T using JamiiForums mobile app
Hapa ni wake za watu pia kama ukitaka habari za pisi yoyote basi waulize hao jamaa
Alafu watu wanasema uoe mke mmoja kweli
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Jamaa wana story za wanawake balaaaHapa ni wake za watu pia kama ukitaka habari za pisi yoyote basi waulize hao jamaa