Mkuu hawa huwa wanataimiana tu wote wana nguvu
Walah kesho kwenye valentine kuna dem wa mtu atafanyiwa hivi[emoji16][emoji16]Jizazi [emoji16][emoji16][emoji16]
View attachment 2118171
Huyu aliyekamatwa ni chita. Mamba hamuwezi chui.Chui hana lolote kwa mamba, huyo hapo kamkamata alligator (sijui Kiswahili chake).....
Mamba ni shughuli nyingine bana...ona hapa, na uzingatie huyu ni mamba bado mchanga.
![]()
[emoji1787][emoji1787][emoji23][emoji23]
Ooh my [emoji23][emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787]The blind will see....
View attachment 2118093
Vitu gani?
Huyu aliyekamatwa ni chita. Mamba hamuwezi chui.
[emoji23][emoji23][emoji23]View attachment 2118467
Mamba humkalisha simba sembuse chui