Vituko mitandaoni. Tupia chako

Vituko mitandaoni. Tupia chako

IMG-20220213-WA0182.jpg
 
Amini ninapokwambia mamba ni hatari nyingine, fahamu bite force ya mamba yaani, pounds per square inch (PSI) ni 3,700 ilhali ya chui ni 300
Hao unao ona wakiliwa huwa alligators ambao hawana makuu.....
Mamba yupo kwenye top ten ya apex predator, maana kwamba kwenye food chain yake yeye ndiye mbabe on top na hana mwingine juu.

Ikiwa hata simba huogopa vita dhidi ya full grown crocodile...
Jaguar ndio anaekula alligators pia jaguar ni wapili baada ya fisi kwa bite force watatu ni mamba wa africa
 
LEO NI SIKU YETU SISI TUNAO JITAMBUA. TUNAOPENDA VITU VIZURI. TUNAOJUA KUMECHISHA. NA WEWE SUBILIA YA KWAKO UTAVAA SIKU YA KAMPENI UNAPOMCHAGUA DIWANI WA CCM. SIMBA NA VALENTINE DAY HOYEEEEEEEEE.
FB_IMG_1644830800813.jpg
 
Back
Top Bottom