Vituko mitandaoni. Tupia chako

Vituko mitandaoni. Tupia chako

Duh aisee imebidi niende niitafute hii habari, watu wanyama sana atakuwa amesukumwa na madawa huyu. Jamaa yake alikuwa anamshutumu kwa uzinzi.

Huyo binti ameolewa akiwa na miaka 12, na mpaka anafanyiwa huo unyama tayari alikuwa na mtoto wa miaka 3[emoji22]View attachment 2118088
Mambo haya ya ajabu ajabu hata kwetu sasa yapo. Watu wanauana na kuchinjana kiboya tu.

RIP Mona [emoji1545][emoji1545][emoji1545]
 
Tumblr_l_446704891524333.jpg
 
Back
Top Bottom