exalioth
JF-Expert Member
- Jun 22, 2016
- 2,391
- 4,145
Maji ndio yalimuua tena , mfano mtu akipata ajari akiomba maji ya kunywa huwa wanamnyima nilishawai kushuhudia
Maji ndio yalimuua tena , mfano mtu akipata ajari akiomba maji ya kunywa huwa wanamnyima nilishawai kushuhudia
Mkuu hawa huwa wanataimiana tu wote wana nguvuChui hana lolote kwa mamba, huyo hapo kamkamata alligator (sijui Kiswahili chake).....
Mamba ni shughuli nyingine bana...ona hapa, na uzingatie huyu ni mamba bado mchanga.
![]()
Umbwaa[emoji23][emoji23][emoji23]Sasa hivi utaambiwa all men are kings [emoji16]
View attachment 2118196
Hahhaah[emoji23][emoji16][emoji16][emoji16]
View attachment 2118225
Pengine gizaIla kuna vingi madaktari wanatupigaaView attachment 2118233
Kuna wanawake wana moyoVayolensi [emoji16]
View attachment 2118275
Madrasa hapa ona Kuna ustaadh na kobaz mlangoni.
mchoma soko kama namuona anavyojifanya shuhuda na jezi yakeView attachment 2118429