We mwenyewe una tikiAhahah mwenyewe anakubali yani
Huyo ni Jaguar wa south America akimuonea Caiman wa huko huko. Leopard wa Africa ni mkubwa kuliko Jaguar lakini hana jeuri kwa Nile crocodile ambaye naye ni mkubwa sana kuliko Caiman.Kila mtu na mbabe wake hapa duniani!
View attachment 2117636
Kila mtu na mbabe wake hapa duniani!
View attachment 2117636


