Vituko mitandaoni. Tupia chako

Vituko mitandaoni. Tupia chako

Mungu Asante [emoji1545][emoji1545][emoji1545]

Endelea kunilinda mimi pamoja na wapendwa wangu. Na memba wote wa uzi huu uwalinde Baba ili tuendelee kucheka na kufurahi kama ndugu japo hatujuani [emoji1545][emoji1545][emoji1545]
IMG-20211126-WA0112.jpg
 
Mungu Asante [emoji1545][emoji1545][emoji1545]

Endelea kunilinda mimi pamoja na wapendwa wangu. Na memba wote wa uzi huu uwalinde Baba ili tuendelee kucheka na kufurahi kama ndugu japo hatujuani [emoji1545][emoji1545][emoji1545]View attachment 2024800
Amen, namshukuru Mungu hata sasa napumua.....mana juz nlipata ajali mbaya saana lkn nashukuru Mungu naendelea vzur. Gar imeharbika mnooo(me n dereva wa malori) lkn nashukuru Mungu nmetoka salama ingawa nina maumivu ya hapa na pale lkn nitakuwa sawa.​
 
Mungu Asante [emoji1545][emoji1545][emoji1545]

Endelea kunilinda mimi pamoja na wapendwa wangu. Na memba wote wa uzi huu uwalinde Baba ili tuendelee kucheka na kufurahi kama ndugu japo hatujuani [emoji1545][emoji1545][emoji1545]View attachment 2024800
Alhamdulillah [emoji120][emoji120][emoji120]
Nakushukuru Mungu kwa majaaliwa yako [emoji120][emoji120]
 
Mungu Asante [emoji1545][emoji1545][emoji1545]

Endelea kunilinda mimi pamoja na wapendwa wangu. Na memba wote wa uzi huu uwalinde Baba ili tuendelee kucheka na kufurahi kama ndugu japo hatujuani [emoji1545][emoji1545][emoji1545]View attachment 2024800
You made my weekend Shimba[emoji1545][emoji1545][emoji1545][emoji1534][emoji323][emoji323][emoji322][emoji323]
 
Back
Top Bottom