Tunataka vitu vizuri kwa hela za wengine.
Aseee[emoji1787][emoji1787][emoji1787]Malaika wako kila mahali na wako katika umbo la binadamu halafu wako watu wema pia katikakati ya wajivuni
Sina ugomvi nae baby ila unajua lazima rick rose ajue hiliBaby una ugomvi naye
[emoji1534][emoji1534][emoji1534][emoji1545][emoji3]Aseee[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Kwahiyo yule bi dada huenda ni malaika lakini pia aweza kuwa binadamu mwenye huruma zake[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Nimekuelewa mzee baba
Hahaha[emoji23]Tanesco jiangalieniView attachment 2024517