Baby huo ni umbea[emoji23][emoji23]Sina ugomvi nae baby ila unajua lazima rick rose ajue hili
Ankali, mbona unapotea sana!
Nipo ankali jana na leo[emoji120]Ankali, mbona unapotea sana!
Natumai mambo shwari huko
Connection ya kwenda KWA kipenzi changu chris brown [emoji3059][emoji3059][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Baby huo ni umbea[emoji23][emoji23]
Akijua utapata nini, hutaki tupate shemeji kutoka America?
Wajaribu kwanza ndio tupate conclusive answer....inaweza kuwa kweliMhhhh! Ni kutoridhika kwetu tu tusisingizie mengine [emoji16][emoji16][emoji16]
View attachment 2024421
Hizo mara mbili wengine tulikuwa tunapiga kipindi maji Pomoni,this time around ni kunawa tu.[emoji16][emoji16]