Aku sijaribu mimi[emoji1787][emoji1787]
Head Table.The big dog
Harafu ukute yuko humu [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] anavyo randa randa na watoto SASA ndio anajua madhara ya simu sahivKwahiyo unatoa siri za jirani yako[emoji15][emoji15][emoji15]
Sent from my SM-J810F using JamiiForums mobile app
Kama yupo humu anisamee tuu maana vitu kama hivi napenda kweli mimi na siwezi jizuia kucheka[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]uzur sikumtuma mimiKwahiyo unatoa siri za jirani yako[emoji15][emoji15][emoji15]
Sent from my SM-J810F using JamiiForums mobile app
Huwenda ndiyo kuupiga mwingi hukoMabanda ya Wamachinga Mwenge njia ya Coca Cola yanateketea na moto muda huu.Tatizo? Au Mama ndio Mama anaupiga mwingi?View attachment 2010624
Hivi hizi suti huyu baba alikuwaga anatoa wapi?Mkapa alisema huyo siyo Raia, ilikuwaje akawa raia?View attachment 2010622
Hapana hawajaweka wazi hivyo ni mihemuko yao na hisia juu ya mtu wanae mpiga bani.[emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38]
Kwani wame-categorize aina za makosa na vifungo vyake?
Kichwa cha habari,[emoji1787][emoji1787][emoji1787]View attachment 2010376
Endelea aisee wengine hatuijui...........#HADITHI
MWEKANADHIRI NA SHETANI.
Hapokale paliondokea mtu namkewe waliokua na ng'ombe jike ambae walimpenda sana. Wakamtafutia #FAHARI mzuri ili baadae ng'ombe wao awe #MBUGUMA. Basi mke akamwambia mumewe, ng'ombe wetu mara yakwanza akizaa ndama jike nitafanya #KARAMU niwakaribishe mabibi wote wamtaa huu, mume nae akamwambia mkewe ng'ombe wetu mara yakwanza akizaa ndama dume nitatoa pesa kumpa #SHETANI. Basi baada ya mwaka mmoja ng'ombe wao akazaa ndama dume, mke akamwambia mumewe unakumbuka ahadi ukiotoa..? Mume akajibu naikumbuka, mke akamwambia basi ahadi ile #NINADHIRI yapaswa uitimize usipo itimiza ng'ombe wetu wote watapatwa na miosi.
Mume akamwambia mkewe sasa shetani mwenyewe nitamuona wapi..? Katika kijiji kile kulikuwepo na mzee mmoja aliefanya makao yake nje kidogo ya mji, akiitwa #MTABIRI_WA_MALIMWENGU. mke akamwambia mumewe, mwendee mtabiri wa malimwengu huenda atakushauri namna ya kuitoa nadhiri hii.
Mume akakubali, siku iliofuata alifunga safari kummwendea mtabiri wamalimwengu.
Wahenga wenzangu mnaikumbuka hii..? Je niendelee kuwasimulia au inatosha..?
View attachment 2010558
It is only a matter of time....
Utamu wake dah [emoji39][emoji39][emoji39]
Wengine ukiwagusa kidogo na kwa upole, kitaa wanakutangaza una show mbovu.Not to that extent [emoji16][emoji16][emoji16]
That's torture!