Ankali nipo sawa,Ankali nipo yaan so unajua mambo ni mengi mda mchache
Upo sawa?
Jua balaa wanasema dar bila pesa jua lazima litunyooshe[emoji23]Ankali nipo sawa,
Ila ankali hapa Dar jua kali sana.
Vipi pande hizo
Kama ndiyo hivyo basi nimeshajua, sasa nimeishiwa pesa[emoji1787][emoji1787][emoji1787]Jua balaa wanasema dar bila pesa jua lazima litunyooshe[emoji23]
Nipe namba yako nikuunganishe naye [emoji1787][emoji1787]Kwahiyo huyu HB tunampataje? [emoji849][emoji849][emoji849][emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]una uhakika?Nipe namba yako nikuunganishe naye [emoji1787][emoji1787]
Ule unaimbwa
Haswaaa[emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]una uhakika?
[emoji23][emoji23][emoji23]noma kwlBy you!
Huku mkuu ni utani tu. Kama ni jimbo lako usitahamaki. Hapa ni utani na vicheko tu - nothing less nothing more (at least for me!)