Not to that extent [emoji16][emoji16][emoji16]Sheikh, ulitaka ale tu?
Ukila shurti uliwe japo kidogoooo.
Huo unene utakuja kumuua. Juzi juzi hapa alikuwa India kwa shida hiyo na majigambo ya flying first class na utopolo mwingine. Unene na afya ya moyo ni maadui....Huyu jamaa atakuwa na shida na psychologia yakeView attachment 2010204
Mshabiki? Wala!Ha haaaaa haaa. Ndio maana nikaweka into brackets. Maana nlijua wengi hamtoona ndani.
Mshebeki jee unaujua!!? [emoji1787]
Nnchi ngumu sana hiiBongo nyooso [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]View attachment 2009494
Mama mkwe wa Mwamedi?Pole CEO Barbara View attachment 2010375