Vituko mitandaoni. Tupia chako

Vituko mitandaoni. Tupia chako

Nimepeleka Side chic kwa restaurant alafu napatana na my main chic akiwa na Bae wake [emoji174] ladies cheat too much [emoji19] [emoji174][emoji19]
giphy.gif
 
[emoji1545][emoji1545][emoji1545]
View attachment 2000755
Wamama wamepewa uzto mnoo kuliko wababa, me nmelelewa na baba najikuta nazd kupambana kwa sababu yake vle anapambana mnoo kwa ajili yangu........🤨.najikuta tu nawaonea iman sana wababa maana wanapambana mnooo pia, tusiwasahau jamen
 
Back
Top Bottom