babu na mjukuu
JF-Expert Member
- Jun 23, 2016
- 3,949
- 6,751
Wasukuma hureeeeee
Ana miaka 52 sio 75Miaka 75 ya umri lakini ukimwangalia kama andaeitini.
Bado mrembo kabisa kuliko hata baadhi ya mabinti wenye miaka 25 View attachment 1998965View attachment 1998967
................na serikali inatazama kweli🤨Walevi mpo?
View attachment 1999727
Usiombe ukachakaa, halafu watu ulozaliwa nao wanaonekana wadogo zaid.........uchakavu unaletwa na kutokujitunza, kutokujitunza kunaletwa na ukosefu wa pesaUsiombe kuchakaa,tujitahidi kujifunza.View attachment 1999755
Kwamba me ndo sjaelewa au...........🤨 jaman aliyeelewa anifafnulie
Sio wote wanashindwa jitunza sababu ya pesaa,kuna watu duniani wanaitwa 'they don't care' hawa ni hatarii. Ninajamaa wako vizuri kiuchumi mara kumi kwangu,ila ni wachafu(nimekosa lugha nzuri ya kutumia). Yaani kuanzia kula Yao,vaa yao,magari yao ndio usiombe upande. Kiukweli kujitunza kunaanzia ndani mwa mtu kuuona umuhimu huo.Usiombe ukachakaa, halafu watu ulozaliwa nao wanaonekana wadogo zaid.........uchakavu unaletwa na kutokujitunza, kutokujitunza kunaletwa na ukosefu wa pesa
Unaweza ukanitajia wangapi hapa bila kudesa? Karibu kila teknolojia tunayotumia kwa sasa kwa namna moja au nyingine inatokana na uvumbuzi wa mtu aliye katika picha hii...
View attachment 1997902

Weuweeee.....Fanya kaa unabanaView attachment 1999951