Vituko mitandaoni. Tupia chako

Vituko mitandaoni. Tupia chako

Huyu mama kuna Muda anasahau kuwa yeye ni Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania.

Huwezi kusema"Zanzibar yetu",jana tena kasema Ishu ya Maalim Sefu ni ya Wazanzibar,bila kujua kuwa Maalim alikua ni kiongozi wa Chama cha CUF na ACT ambavyo ni vyama vyenye sura ya Muungano.

Wasaidizi wamsaidie,apende kutumia maneno kama"ya wa Zanzibar na Tanzania kwa ujumla".
Au"ya waTanzani"...kuna siku alisema yeye ni Mzanzibari,bila kujua kuwa kujitambulisha kwa ukanda,udini,au ukabila si kitu kizuri.
Kuna wakati anajisahau!
 
Rukia huna adabu
Nilitaka niandike trash nikasema vita vya Wapare mi vinanihusu nini nikasepa kwenda kupasha moto makande yangu ...
77985_4653.jpg
 
Hahahhaha hiyo n noma yan hajaoga sku 5 😳
Sio wote wanashindwa jitunza sababu ya pesaa,kuna watu duniani wanaitwa 'they don't care' hawa ni hatarii. Ninajamaa wako vizuri kiuchumi mara kumi kwangu,ila ni wachafu(nimekosa lugha nzuri ya kutumia). Yaani kuanzia kula Yao,vaa yao,magari yao ndio usiombe upande. Kiukweli kujitunza kunaanzia ndani mwa mtu kuuona umuhimu huo.
Imagine kuna mtu anajisifia ajaoga siku 5?!
 
Nope. Hata kama Yesu Angeenda hospitalini Asingeweza kuwaponya wote. Wenye imani wangepona!

Na ukiachana na drama za akina Gwajiboi za kufufua wafu na kurudisha misukule, miujiza ya kweli ipo. Mimi mwenyewe ilishanitokea

Kweli kabisa
Wapo wenye Karama na wanaweza kusaidia watu kwa maombi

Hata mimi nimeshuhudia kwa mwanangu alipata matatizo na akapona kwa maombi he was 25
 
Back
Top Bottom