Shimba ya Buyenze
JF-Expert Member
- Dec 22, 2014
- 183,582
- 1,105,829
Maishani kutakuwa na dhoruba. Jinsi tunavyopambana na dhoruba hizo ndiyo kutaamua tunaishi maisha ya aina gani.
Yes [emoji122][emoji122][emoji122][emoji122]
Lengo mojawapo la uzi huu ni kufurahi kamanda [emoji16][emoji16][emoji16]Nimecheka kifala aisee, mzee baba we ni bonge la comedian.
But si iko na swimming pool lakini[emoji2369][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Swimming poolView attachment 2000166
Sio kukuamini kuwa upo single, tatizo vinakuwaga vimayaimayai!!
Huyu mama kuna Muda anasahau kuwa yeye ni Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania.
Kwani wewe pesa!![emoji24][emoji24][emoji24]
View attachment 2000221
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Hii inaitwa hakuna kutoroka hadi thamani ya nauli ikwishe.