rukia16
JF-Expert Member
- Feb 27, 2020
- 2,978
- 31,040
Utauficha kwa kimbau mbau wako[emoji16][emoji16]Siyo wewe peke yako. Wengine mpaka wananitumia PM mizigo wanayokutana nayo huko mitaani. Nitafurahi sana na wewe ukianza kufanya hivyo [emoji16][emoji16][emoji16]
[emoji3591][emoji3591][emoji3591] Halafu siku wananzengo wakija kugundua kuwa mwenyewe kumbe nimeoa kakimbaumbau tena flat screen sijui uso wangu nitauficha wapi mimi dah![emoji2099][emoji2099][emoji2099]
Legacy ya hovyo nimejijengea mimi. Hata siku nikidedi utasikia tu jamaa alikuwa anapenda misambwanda sasa kaiacha. Ai niidi tu chenji kwa kweli [emoji16][emoji16][emoji16]