Vituko mitandaoni. Tupia chako

Vituko mitandaoni. Tupia chako

Sio wote wanashindwa jitunza sababu ya pesaa,kuna watu duniani wanaitwa 'they don't care' hawa ni hatarii. Ninajamaa wako vizuri kiuchumi mara kumi kwangu,ila ni wachafu(nimekosa lugha nzuri ya kutumia). Yaani kuanzia kula Yao,vaa yao,magari yao ndio usiombe upande. Kiukweli kujitunza kunaanzia ndani mwa mtu kuuona umuhimu huo.
Imagine kuna mtu anajisifia ajaoga siku 5?!
Ndivyo walivyo
 
Eti[emoji41]
FB_IMG_16361897407912940.jpg
 
Nionavyo mimi Mbowe anaweza pigwa miaka ya kutosha watu mkabaki kushangaa.

Hizi habari zinakuja za upande mmoja tu,tena zinaoonesha mapungu ya mashahidi. Hakuna anayeleta habari za mashahidi pindi wanapotoa ushahidi konki.

Ushabiki unaweza sababisha siku ya hukumu watu wasiyaamini masikio yao.
Sidhani kama kwenye ushahidi kinachosemwa ni hivi vipande tu mnavyotuletea mitandaoni.

Tisubiri,muda utaongea.
 
Hamna mwafrikka hata mmoja
Wanaharakati watakwambia kwamba sisi ndiyo tulikuwa chanzo cha sayansi na teknolojia na kwamba Wagriki na Waroma wa kale walikuja kuiba maarifa yetu na kujimilikisha. Baada ya kuibiwa hayo maarifa naona tulipoteana kabisa kwa sababu mpaka leo bado tumepoteana....
 
Back
Top Bottom