Vituko mitandaoni. Tupia chako

Vituko mitandaoni. Tupia chako

IMG-20211105-WA0033.jpg
 
Mwongo. 75 parefu sana. Mi namzidi mwaka mmoja tu lakini nimechoka hatari. Huyu ni kati ya 45 na 60 period!
Kwakuwa tunategemea kupata taarifa kwa asasi zisizoeleweka, kuna wakati wanatulishwa matango pori.
Ila mzee kama umechoka sana, maana yake kwamba nawe umejirusha vilivyo kwenye yale mambo.
Shukuru sana kufikia umri huo, wengi wameshindwa kugusu namba hiyo.
 
Usiombe ukachakaa, halafu watu ulozaliwa nao wanaonekana wadogo zaid.........uchakavu unaletwa na kutokujitunza, kutokujitunza kunaletwa na ukosefu wa pesa
Kuna muda na hela unazo za kutosha, nazo zinaharakisha kuzeeka kwako.
Maana unakula ovyo, bia sana, nyama sana, sigara sana, ngono sana, mazoezi hakuna, lakini una tumbo ka pipa.
 
Back
Top Bottom