Vituko mitandaoni. Tupia chako

Vituko mitandaoni. Tupia chako

Yeah! Mimi kwetu ni last born. Nina dada ambao wananizidi sana umri lakini kila tukisalimiana lazima wapige magoti chini kabisa mpaka huwa nawaambia waache tu basi tunaishia kucheka. Vijijini mpaka leo binti asiyepiga magoti akisalimia watu wanaomzidi umri anachukuliwa kama hana heshima...na yes mkeo/mpenzi ni lazima apige magoti wakati wa salamu au kupokea cho chote. Hata akikupelekea maji ya kuoga bafuni utamsikia "Malchiah. Maji ya kuoga yapo tayari bafuni" huku amepiga magoti (ila hakuogeshi kama wanawake wa Tanga)

Watu wa usawa wa kijinsia wanapambana kuziharibu hizi mila...
Chief namshukuru Mungu,yule binti ile miaka sitasahau,alikuwa ananiogesha,yaani maji yanawekwa bafuni napelekwa chumbani,naandaliwa fresh kabisa,tunaenda kuoga,nasuguliwa vizuri tu,na mengine kadhalika sijui vile vitu alijifunzia wapi,alikuwa fundi haswaa,utamani kurudi mapema mkoani. Kuna wanawake wanayajua mapenzi jamani,usiombe umpate,akung'ang'anie,wooiih..
 
Mwanamke hakikisha inaigusa Ile sehemu na kwenye moyo wake vyema,hata mkigombana na kuachanaa,hakusahauuuu
IMG-20211102-WA0020.jpg
 
Back
Top Bottom