Vituko mitandaoni. Tupia chako

Vituko mitandaoni. Tupia chako

Huyu Mnyaki namkubali sana...Green City here I come [emoji91][emoji91][emoji91]
Screenshot_20211101-073750_Instagram.jpg
 
Kwa hiyo na wewe bro hii ni ID ya kupigia uchimvi tu na kuweka memes na zile picha zako ili kujilindia heshima? Si ajabu unaweza kuwa ndo Mello mwenyewe aisee!

Wengine hatuna heshima za kulinda na kila mada tunatwanga na ID zile zile tu [emoji123][emoji123][emoji123]
Nimecheka kama chizi, hands down man.
 
5=30
4=20
3=12
2=6View attachment 1994700
I stand to be corrected.
Sijakupinga kwa sababu sijui mtunzi alikuwa na maana gani nyuma ya hilo swali; binafsi kama ndiyo pepa ningejibu 12 pia. Niliona tu google wasomi wakijadili juu ya option nyigine ambayo jibu linakuwa 18
Ukitumia formula ya Ax(namba ya juu)
9×10=90
8×9=72
7×8=56
6×7=42
3×6=18.

Wengine wakasimply tu hivi
9×10-(9×0)=90
8×10-(8×1)=72
7×10-(7×2)=56
6×10-(6×3)=42
3×10-(3×4)=18

Na wengine wakadai 3=3. Kwa sababu kimahesabu kila namba ni sawasawa na namba yenyewe binafsi. 9 haiwezi kuwa sawasawa na 90
 
Wanahisabati katika ubora wenu. Hujambo Mtumishi? Nakutakia mwezi mpya wenye mibaraka kwako na wapendwa wako. Nikumbuke kumbuke katika maombi na mifungo yako [emoji1545][emoji1545][emoji1545]
 
Back
Top Bottom