Shimba ya Buyenze
JF-Expert Member
- Dec 22, 2014
- 183,582
- 1,105,383
Alikuwa na msambwanda?Mjitahidi kuzilinda mila zenu kama wenzanu wamasai aisee.
Maana tabia hii ya Wasukuma kuhama hama kinapunguza baadhi ya mila zao, kwakuwa baadhi ya maeneo wanaiga mila za wenyeji.
Juzi nilikuwa mkoa furani kwenye hii mikoa ambayo Wasukuma wameivamia kwa wingi.
Amefika hapo nyumbani kwa wenyeji bint mmoja wa Kisukuma alinisalimia juu kwa juu, yaani sikuamini.






