Malastiboni huwa na faida zao kumbe


Udhamin wa metaView attachment 1995308View attachment 1995309View attachment 1995310View attachment 1995311View attachment 1995312View attachment 1995313View attachment 1995314View attachment 1995315View attachment 1995316View attachment 1995317View attachment 1995318View attachment 1995319View attachment 1995320View attachment 1995321View attachment 1995322View attachment 1995323View attachment 1995324









Maendeleo hayana chama
Kumbe wewe mwanaume!! Siku zote najua hii id ni ya ke!Kuna vitu vinaamisha akili ya mwanaume kabisaa, imagine una drive kagari kako ka mkopo,unakutana na hii mambo inatembea kwa mguu,wanaume tuna huruma sanaaaa,sema Aminaaa
Mkizipata tu, hamuwi waaminifu tena!! Sasa bora tuchague pesa tu.Naomba kuwauliza wanawake mwanaume mwenye ela anatakiwa awe na kuanzia sh ngapi?View attachment 1994810
Amen🙏🏻Morning good peopleView attachment 1995286
KwelMdaiwa kama hana mali zinazofanana na deni lake mdai anaruhusiwa kumpa kazi za kufanya kwa muda maalum ambao mahakama itauridhia ili kufidia madeni ya muhusika.
Kwahiyo unaweza kumpeleka nyumbani kwako akaoshe vyombo, afagie nyumba, afue nguo za familia nk.
Ikiwa kazi za aina hiyo mathalani mshahara ni 300,000 kwa mwezi.
Zitapigwa hesabu kutokana na deni unalodai.
Atafanya mpaka hela anayodaiwa imalizike.
Kwa huyu mwanaharakati huru anaweza kujikuta kwenye mazingira hayo kama atashindwa kuwalipa Membe na Fatma Karume.
Tujitahidi kuheshimu watu hata kama mbele yako kuna Kigogo anayeweza kukulinda kwa wakati huo.
Maana sheria haina ulinzi wa kigogo
Jamaa noma kwenye ujasiriamal walokole wanapaswa kuongeza umakin ktk mirad atakayoitolea macho huyo mwamed