Yaan we we[emoji41]
Hao hamna kitu hapo[emoji41].....muweke dereva bonge
Sawa, heshima yenu[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Heshimu wanaume wewe [emoji51][emoji51][emoji51]
I love you so much[emoji1787]
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji174]View attachment 1995798
[emoji23]I love you so much[emoji1787]
Mbona mimi niko singo[emoji85][emoji85][emoji85][emoji85][emoji848][emoji848][emoji848][emoji848][emoji848][emoji848][emoji848]
View attachment 1995850
:Tabasamu linalonipa hamu sura ya kuvutia inayonipa wazimu nataka kumfata naogopa atanimwaga"nimekumbuka huu mstar ktk nyimbo ya AY aliipa jina la (yule) kipind hicho mabint walikua wana aleji na mimTabasamu !
With bae for sure, the journey without him would not be fun at all
Hawa viongozi hivi wanatokaga Tanzania hii hii au kuna namna tunafanyiwa[emoji2297][emoji2297][emoji2297]Kiki za kijinga [emoji706][emoji706][emoji706]
View attachment 1995853
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Mara[emoji1787][emoji1787][emoji1787]Wapo Usukumani...
View attachment 1995910
Teh teh teh teeeeeh!Yeah! Mimi kwetu ni last born. Nina dada ambao wananizidi sana umri lakini kila tukisalimiana lazima wapige magoti chini kabisa mpaka huwa nawaambia waache tu basi tunaishia kucheka. Vijijini mpaka leo binti asiyepiga magoti akisalimia watu wanaomzidi umri anachukuliwa kama hana heshima...na yes mkeo/mpenzi ni lazima apige magoti wakati wa salamu au kupokea cho chote. Hata akikupelekea maji ya kuoga bafuni utamsikia "Malchiah. Maji ya kuoga yapo tayari bafuni" huku amepiga magoti (ila hakuogeshi kama wanawake wa Tanga)
Watu wa usawa wa kijinsia wanapambana kuziharibu hizi mila...[emoji706]