Vituko mitandaoni. Tupia chako

Vituko mitandaoni. Tupia chako

FB_IMG_1635676599608.jpg
 
Mwanamke wa Kizaramo: Unampa hela ana nunua dela anaenda ana msutia jirani, analivaa dela bila nguo ya ndani mbele yako, unazidiwa anakupa kitu fresh unatoka unatabasamu.

Mwanamke wa Kitanga:
Unampa hela anapika vitu Mtaa mzima unasikia harufu ya Chakula, Chenji inayo baki ananunua kinga, ukirudi unakula afu unakula..

Mwanamke wa Kihaya:
Unampa hela, ukirudi unakuta Majirani wote wanataarifa kuwa wewe uliacha hela, anakupikia vitu vizuri, usiku anakuhudumia, ukimsifia anakuhudumia tena, hata mara nne kwa usiku mmoja..we mpe sifa tu.

Mwanamke wa kinyakyusa...unampa hela ya kununua sagaa...unarudi unakua nyama ya kuku...kesho huachi hela,unarudi unakuta nyama,ugali,matunda na mazagazaga kama yote...unaamua kutokuacha pesa maana kila ukirudi unakuta mazagazaga ya bure...siku unarudi home unamkuta yupo na mgeni...anakwambia ni mjomba ake..

Mwanamke wa Kichaga:
Unampa hela anaenda ananunua Dagaa, anapika na Michuzi Mingi mpaka Dagaa Wanafufuka, unakula kwa shida, Dagaa wanakula Utumbo wako, Unakufa.. Madaktari wanajitahidi wanakutibu Unafufuka, ukiwa hujapata akili vizuri, anakuletea Bili ya Maji, anakukumbusha deni la kwa Masawe, anakukumbusha Kodi ya Nyumba.. Unashikwa na Presha, unakufa moja kwa moja.
Wachaga tuachwe 😩😩😩😩😩😩😩 , ahahah et michuz ming had dagaa wanafufuka.
 
Ukikuta soko limevamiwa na ndizi zilizoletwa toka Mashati Rombo au Matombo Morogoro, mbona utalia.
Nimewaona wengi walioangua vilio kwa michongo ya aina hiyo
Kuna wakati biashara ni kama kuweka hela kwenye Tatu mzuka
Ukisikiliza hizo motivations ukaingia kichwa kichwa basi unaliwa kichwa, kuna jamaa alimkimbia dereva na lori la matikiti.
 
Back
Top Bottom