Shimba ya Buyenze
JF-Expert Member
- Dec 22, 2014
- 183,582
- 1,105,829
[emoji16][emoji16][emoji16]
Siwez, ndo mn nimecheka[emoji2]Unaweza? [emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099]
[emoji16] acha kutusema lol[emoji16][emoji16][emoji16]
View attachment 1991502
Kwa mwanamke mweupe sisi Wasukuma tunaweza kutoa ng'ombe zizi zima na hela zote za pamba. Tena ukiwa mrefu una msambwanda halafu umesoma soma hivi uwiii...[emoji16] acha kutusema lol
[emoji2][emoji2] we noumaaa. Ndo pigo zako izo?Kwa mwanamke mweupe sisi Wasukuma tunaweza kutoa ng'ombe zizi zima na hela zote za pamba. Tena ukiwa mrefu una msambwanda halafu umesoma soma hivi uwiii...
View attachment 1991513
Naona umejiunga juzi tu ila unaonekana kama mwenyeji mwenyeji hivi. Zamani ulikuwa unatumia ID gani? [emoji16][emoji16][emoji16][emoji870][emoji870][emoji870][emoji2][emoji2] we noumaaa. Ndo pigo zako izo?
Kwema kabisa ankali wangu.Kwema
Ni kweli ankali,yanini kuchunguza? Unajipa mastress bureMmmh, Ankali ushauri gani huo[emoji849][emoji849]