moudgulf
JF-Expert Member
- Jan 23, 2017
- 158,368
- 775,926
Nawakaribisha hapa nyumbani na waje[emoji23][emoji23]
Nawakaribisha hapa nyumbani na waje[emoji23][emoji23]
Mdaiwa kama hana mali zinazofanana na deni lake mdai anaruhusiwa kumpa kazi za kufanya kwa muda maalum ambao mahakama itauridhia ili kufidia madeni ya muhusika.Na vp km mdai ataamua kumuweka chumba cha uan ktk nyumba yake na kumgharamia mahitaj yote mpaka kifungo chake kitakapoisha
[emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji849][emoji849][emoji849]View attachment 1993977
Hahahaha[emoji23][emoji23][emoji23]Alafu ukute uliacha RB ya sms ya mchepukoView attachment 1993890
Fact.[emoji1787][emoji1787][emoji1787]View attachment 1993845
Ukikuta soko limevamiwa na ndizi zilizoletwa toka Mashati Rombo au Matombo Morogoro, mbona utalia.[emoji24][emoji24][emoji24]Mchongo wa uhakika huu hapa [emoji16]
View attachment 1993939
Kwakuwa tulikuwa naye kwenye furaha, tutakuwa pamoja naye kwenye karaha[emoji123][emoji123][emoji123]Inasemekana Mudi kaokoka [emoji16][emoji16][emoji16]
View attachment 1993938
Kama akaunti yake Stanbic bank inasoma $$$ za kutosha hiyo si shida.Ana leseni? Tuanzie hapo kwanza [emoji16]
View attachment 1993760
[emoji2297][emoji2297][emoji2297][emoji2297][emoji2297][emoji2297][emoji2297][emoji2297]
[emoji817][emoji3581]
Hahaha[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Mwanamke wa Kizaramo: Unampa hela ana nunua dela anaenda ana msutia jirani, analivaa dela bila nguo ya ndani mbele yako, unazidiwa anakupa kitu fresh unatoka unatabasamu.[emoji1754][emoji1430]
Mwanamke wa Kitanga:
Unampa hela anapika vitu Mtaa mzima unasikia harufu ya Chakula, Chenji inayo baki ananunua kinga, ukirudi unakula afu unakula..[emoji1376][emoji1376][emoji1754][emoji1430]
Mwanamke wa Kihaya:
Unampa hela, ukirudi unakuta Majirani wote wanataarifa kuwa wewe uliacha hela, anakupikia vitu vizuri, usiku anakuhudumia, ukimsifia anakuhudumia tena, hata mara nne kwa usiku mmoja..we mpe sifa tu[emoji1430][emoji1430][emoji2993][emoji1419].
Mwanamke wa kinyakyusa...unampa hela ya kununua sagaa...unarudi unakua nyama ya kuku...kesho huachi hela,unarudi unakuta nyama,ugali,matunda na mazagazaga kama yote...unaamua kutokuacha pesa maana kila ukirudi unakuta mazagazaga ya bure...siku unarudi home unamkuta yupo na mgeni...anakwambia ni mjomba ake..
Mwanamke wa Kichaga:
Unampa hela anaenda ananunua Dagaa, anapika na Michuzi Mingi mpaka Dagaa Wanafufuka, unakula kwa shida, Dagaa wanakula Utumbo wako, Unakufa.. Madaktari wanajitahidi wanakutibu Unafufuka, ukiwa hujapata akili vizuri, anakuletea Bili ya Maji, anakukumbusha deni la kwa Masawe, anakukumbusha Kodi ya Nyumba.. Unashikwa na Presha, unakufa moja kwa moja[emoji1430][emoji23][emoji2809][emoji1493][emoji2993].
Level ya kiburi inategemea unafanya transaction ya bei gani.Benki za bongo achana nazo aiseeView attachment 1992418
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Mkuu lete ushuhuda[emoji2089][emoji2089][emoji2089ITabidi turuhusu watu walete ushuhuda ss 😃
.[emoji16][emoji16]Nawakaribisha hapa nyumbani na waje[emoji23][emoji23]
Hakuna kuzembea mkuuAiseee,[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] mpaka usukani unawekwa.
Watu wakiwa na jambo lao hawataki mchezo[emoji849][emoji849][emoji849][emoji849]