Vituko mitandaoni. Tupia chako

Vituko mitandaoni. Tupia chako

Aiseee,
emoji23.png
emoji23.png
emoji23.png
emoji23.png
mpaka usukani unawekwa.
Watu wakiwa na jambo lao hawataki mchezo
emoji849.png
emoji849.png
emoji849.png
emoji849.png
Hakuna kuzembea mkuu
[emoji16][emoji16][emoji16]

OK....

Kuku mgeni huyu.....hana kamba mguuni...

...na wenyeji wakikosa mboga sijui chaweza tokea nini [emoji848][emoji848][emoji848]

Karibu sana JF kamanda...[emoji2221][emoji2221]
😂 kitaeleweka tu
 
Naona umejiunga juzi tu ila unaonekana kama mwenyeji mwenyeji hivi. Zamani ulikuwa unatumia ID gani? [emoji16][emoji16][emoji16][emoji870][emoji870][emoji870]

View attachment 1991532
Acha uchinvi, kutumia ID mpya kuna excitement yake. Kuna aina ya mijadala huwezi kuiingia kwa ID ya 2007 ambayo umeijengea reputation ya aina fulani, let's have fun.
 
Back
Top Bottom