Shimba ya Buyenze
JF-Expert Member
- Dec 22, 2014
- 183,582
- 1,105,376
Mi naomba hata mkirudiana muachane tena...



Haya mambo mengine, poa tu kwani kucheka ni afya.
I thought it's supposed to bewarwa,nyama na nyoooView attachment 1991173
LolsMwanamke wa Kizaramo: Unampa hela ana nunua dela anaenda ana msutia jirani, analivaa dela bila nguo ya ndani mbele yako, unazidiwa anakupa kitu fresh unatoka unatabasamu.
Mwanamke wa Kitanga:
Unampa hela anapika vitu Mtaa mzima unasikia harufu ya Chakula, Chenji inayo baki ananunua kinga, ukirudi unakula afu unakula..
Mwanamke wa Kihaya:
Unampa hela, ukirudi unakuta Majirani wote wanataarifa kuwa wewe uliacha hela, anakupikia vitu vizuri, usiku anakuhudumia, ukimsifia anakuhudumia tena, hata mara nne kwa usiku mmoja..we mpe sifa tu.
Mwanamke wa kinyakyusa...unampa hela ya kununua sagaa...unarudi unakua nyama ya kuku...kesho huachi hela,unarudi unakuta nyama,ugali,matunda na mazagazaga kama yote...unaamua kutokuacha pesa maana kila ukirudi unakuta mazagazaga ya bure...siku unarudi home unamkuta yupo na mgeni...anakwambia ni mjomba ake..
Mwanamke wa Kichaga:
Unampa hela anaenda ananunua Dagaa, anapika na Michuzi Mingi mpaka Dagaa Wanafufuka, unakula kwa shida, Dagaa wanakula Utumbo wako, Unakufa.. Madaktari wanajitahidi wanakutibu Unafufuka, ukiwa hujapata akili vizuri, anakuletea Bili ya Maji, anakukumbusha deni la kwa Masawe, anakukumbusha Kodi ya Nyumba.. Unashikwa na Presha, unakufa moja kwa moja.










Ukiwa na mwenza kulala na ngou it's an offense, haikubaliki yaani labda kwa bibie kipindi cha zile tarehe kuepuka kuchafua uwanja.........likitokea tatzo la ghafla, ndo kujikuta ushafka nje kila kitu kipo nje nacho![]()