Why mbona nzuri tu au unaogopa wanavyokufa?Halafu mie imenishinda[emoji2297]
[emoji28][emoji28]Tit for tat[emoji1787]
Hata mie mtu akinambia hivyo ndio haoni tena nikimpigia.Watu wa hivyo nilishaacha kuwapigia kabisa akaongee na huyo wa muhimu kwake.