the_legend
JF-Expert Member
- Jan 14, 2019
- 1,612
- 7,110
.
wakati nakuwa nilisikia kuna katazo la mbeya kutojengwa majengo marefu sababu ya tetemeko..Waambie hao. Halafu kwanini wamekomalia Mbeya wakati kuna mikoa mingine hakuna ghorofa hata moja lenye lift.
Na wanajisahaulisha kwamba Mbeya ni mji ambao hauna majengo marefu sana kutokana na kwamba ni mji ulioinuliwa yaani ni mahali patakatifu palipoinuka mji wa makuhani.
Asiyependa akakumbatie transformer![]()
Chama la Wana


Duuh kumbe Huyu ngosha naye ni cha kudekaNilimaanisha shimba ndiyo last born
Hahaha yaani ujue kuna wanaume unaona kabisa huyu hana pesa ila anajitahidi kutafuta! Ila pops angu pesa anazo sema ndiyo mbahili kwenye kuhonga kuna comment niliona anasema ana mpango wa kuvuta Subaru Forester maana yake hana njaa ndogo ndogo sema tu ndiyo hivyo kuhonga kwake ni kipengele!Teh mwambie pops apunguze upare.
Kitambo akiwa kijana kuna comment aliandikaga eti akimuita binti; on their first date anamnunulia tu kinywaji hakuna msosi. Kama ukifanikiwa kwenda next round ndiyo utaanza kununuliwa msosi; jamani nilicheka mweeh. Sasa ndiyo kakutana na bi mdashi mweeh
Hivi mnajua nyie wooote baba yenu ni mmoja!! Haya jifanye unajua sana.Hahaha yaani ujue kuna wanaume unaona kabisa huyu hana pesa ila anajitahidi kutafuta! Ila pops angu pesa anazo sema ndiyo mbahili kwenye kuhonga kuna comment niliona anasema ana mpango wa kuvuta Subaru Forester maana yake hana njaa ndogo ndogo sema tu ndiyo hivyo kuhonga kwake ni kipengele!