Vituko mitandaoni. Tupia chako

Vituko mitandaoni. Tupia chako

Yaani[emoji119][emoji119][emoji119]
Unajitahidi angalau umalize unashangaa zinaongezwa zingine[emoji2297][emoji2297]

Kuna kahafla ka kuvunja kamati nilihudhuria nilikula nyama hadi nikasema enough is enough msiniue[emoji2297]
Siku ukija Misungwi nyama zitakuua. Na nyingine zitakaushwa uondoke nazo pamoja na ngozi ya ng'ombe nitakayekuchinjia...
 
IMG-20211019-WA0046.jpg
 
Back
Top Bottom