Espy_
JF-Expert Member
- Jul 19, 2013
- 91,730
- 182,783
Yaani[emoji119][emoji119][emoji119][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]sijaona Blanketi la Shangazi.[emoji2]
Hapo bado ukwe na makorokoro kibao. Shikamooni[emoji1787]
Yaani[emoji119][emoji119][emoji119][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]sijaona Blanketi la Shangazi.[emoji2]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Yaani[emoji119][emoji119][emoji119]
Hapo bado ukwe na makorokoro kibao. Shikamooni[emoji1787]
Ni kula nyama na mbege kwa kwenda mbele. Full burudani.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Marahabaaaa..
Ewaaaaaaa....Ni kula nyama na mbege kwa kwenda mbele. Full burudani.
Naachaje kwa mfano!! Unawekewa nyama hadi unauliza "nakula na nani"? Nyie sio wa mchezo mchezo kabisa[emoji1787]Ewaaaaaaa....
Najua unajua namna mambo yanavyokuwa...Na kisusio[emoji2]hivi umewahi kunywa?
[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]Naachaje kwa mfano!! Unawekewa nyama hadi unauliza "nakula na nani"? Nyie sio wa mchezo mchezo kabisa[emoji1787]
Yaani[emoji119][emoji119][emoji119][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]
Ajabu ni kwamba umalize usimalize.. Bado una bakuli lingine linakusubiria...Dah!!!
Unakula nyama.. hadi ukiona Nyama mahali hutaki kuitizama[emoji2]Yaani[emoji119][emoji119][emoji119]
Unajitahidi angalau umalize unashangaa zinaongezwa zingine[emoji2297][emoji2297]
Kuna kahafla ka kuvunja kamati nilihudhuria nilikula nyama hadi nikasema enough is enough msiniue[emoji2297]
Walinifanya sikula nyama mwezi mzima, kila nikiziona sina hamu.Unakula nyama.. hadi ukiona Nyama mahali hutaki kuitizama[emoji2]
Ndivyo inavyokuwa.. Pole[emoji2]Walinifanya sikula nyama mwezi mzima, kila nikiziona sina hamu.
Hahaha yaani ujue kuna wanaume unaona kabisa huyu hana pesa ila anajitahidi kutafuta! Ila pops angu pesa anazo sema ndiyo mbahili kwenye kuhonga kuna comment niliona anasema ana mpango wa kuvuta Subaru Forester maana yake hana njaa ndogo ndogo sema tu ndiyo hivyo kuhonga kwake ni kipengele!
Kuna mpuuzi mmoja nilimsalimu akanyamaza baadae akaniita nikamwambia naona uko busy akajibu "nilikua naongea na watu nisingeweza kukujibu salamu yako."Hata mie mtu akinambia hivyo ndio haoni tena nikimpigia.
Kwa hiyo wewe si mtu.Kuna mpuuzi mmoja nilimsalimu akanyamaza baadae akaniita nikamwambia naona uko busy akajibu "nilikua naongea na watu nisingeweza kukujibu salamu yako."
Sent from my SM-J530F using JamiiForums mobile app
Ndo umeshanyanduliwa hapo. Baharia yeye keshamaliza kazi [emoji16][emoji16][emoji16][emoji870][emoji870][emoji870]