[emoji16][emoji16][emoji16]Dah! Mechi kama hii hata matokeo utajikuta haujui nani kamfunga yupi...
Hizi picha ndio zinathibitisha kiwango chetu cha umaskini na kufikiriUkoo upi tena?
View attachment 1966333
Kikombe....[emoji23]Nchi hii imepitia mengi [emoji16][emoji16]
View attachment 1966334
Uzazi wa mpango muhimu
Sexual harassment hiiMajaribu ni mtajiView attachment 1966351
Wapiga kavukavu
Sana[emoji3061]Ni uraibu mbaya [emoji16]
Dahh...[emoji120] mkubwa.Tahadhari,
Kumetokea sontofahamu moja hv nyumbani kwangu leo ambapo gari la mtoto lilipita mapema mno na wakaomba mtoto wa chekechea, wakisema gari yake ambayo inapitaga saa tatu imejaa, tukastuka kidogo na kusema hapana, wale jamaa kuona hilo hata hawakuongea wakaondoka, tunapiga simu shule tunaambiwa hakuna kitu kama hicho. Chukua tahadhari kama mzazi.. ...wameanza tena.Mkoa wa Dar es Salaam. Ikumbukwe pia kuwa school buses zipo nchi nzima na watoto wetu wote wapo vulnerable. Tusambaze ili wazazi tusiwe tunachukua majibu mepesi
Please send this to many Groups as much as possible
,[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]ila jamaani huyu paka mnamtesa kwakwel
Na inaendelea kupitia mengi Bado[emoji22][emoji26]Nchi hii imepitia mengi [emoji16][emoji16]
View attachment 1966334