Vituko mitandaoni. Tupia chako

Vituko mitandaoni. Tupia chako

1790189675043.jpg
 
Unakumbuka Y2K? Walisema ifikapo mwaka 2000 mifumo yote ya teknolojia ya dunia itazimika. Watu wakatafsiri kwamba ni mwisho wa dunia a.k.a kiyama wakaponda mali zao na akiba zao zote lakini tarehe 1 baada ya mwaka ule dunia iliendelea na wahusika walikufa masikini na wengine walijinyonga.
My take;
Akili za kuambiwa changanya na zako.
 
Back
Top Bottom