Hiyo barabara ya Matosa akikalia kiti cha plastik lazima kitavunjika kabla hajafika mwisho wa safari.Ni hatari[emoji41]View attachment 1965985
Kazi yake ni kumfikisha kileleni girls friend wake aliyemis kupigwa na midushee mikubwa.Kimekaa kama maiki[emoji3061]....kazi yake nini??View attachment 1966001
Anaweza sababisha ajaliHiyo barabara ya Matosa akikalia kiti cha plastik lazima kitavunjika kabla hajafika mwisho wa safari.
Maana ni mashimo na milima ya mawe kama yote
Hilo dude lote[emoji16]hovyooooKazi yake ni kumfikisha kileleni girls friend wake aliyemis kupigwa na midushee mikubwa.
Ankali niache[emoji2089][emoji2089][emoji2089]
hii naifananisha na ile ya gwajike enzi za kujifukiza na kauli zake[emoji1787][emoji1787] leo hii
Hawa mbona wanaongea vice versa...inatakiwa isomeke unemployed men are more likely to be single....mbususu bila pesa utaipata wapi dunia hii ya sasa?
Ulienda kuangalia mapaja na siyo mechi[emoji23][emoji23]Usiniulize mechi iliisha ngapi ngapi "I'm not [emoji725]" kulikuwa na mengi muhimu ya kuangalia uwanjani kuliko matokeo...MABAHARIA MTAKUWA MMENIELEWA.View attachment 1965885
Mimi nijuavyo 1+1= 11... but if you don't use a condom.View attachment 1965957
Hata Dar ilikuwepo hiyo.Ni nini?[emoji116]View attachment 1966034
,[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]ila jamaani huyu paka mnamtesa kwakwel